Hobby haswaHata zamani sijawahi angalia[emoji23]
Kuna kadogo kangu kamoja kanapenda haya mambo...kaliwahi shiriki..aisee hela Hana anakopa ili anunue nguo aende shiriki umiss chuo.
Kweli urembo ni hobby.
Ngoja tuweke mambo sawa na mr shos !!😘😘😘Poleeeeeh shouzzzzzz, njooo town.
Namuona x wangu hapo Ila fresh tu [emoji52][emoji52]Fainali ya Miss Tanzania leo
Anne unangalia hii View attachment 2231561
Hahahaha tupo wengiHapa wenye vichwa vizito tumetoka weupe kama karatasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha zako nawee.Hapa wenye vichwa vizito tumetoka weupe kama karatasi
Haya mashindano 80% wanashindaga mabinti wa kichaga sanaFainali ya Miss Tanzania leo
Anne unangalia hii View attachment 2231561
Hahahaha aiseeHao wakina temba hapo watafute biashara za kufanya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Amida anamuonekano wa kimiss
Yeah nafikiri alimaliza 2015, nilimfahamia kule celebrities walikuwa wanamdiscuss.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema mie nawakubali R na F wana behave kisomi na smart, wanaonesha umuhimu wa kuwa na Elimu, ila R anajua kutetemesha, anatema yai had chimbo linatikisika, yaan kimalikia chake kimenyoooka mno, ndo raha ya kusoma majuu.
Afu kumbe F kamaliza UDSM 2015, mie nilijuaga mtoto mwenzangu wee siku hiyo acha aniweke wazi nlishtuka, ana muonekano wa kitoto.
N mswahili sana, some time wakianza kukwaruzan na J lo, bas mambo mareshhhh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzetu walipoendelea ndo hakuna vitu ivyo.Ndo shida hapo
Nimesikia habari kama hiyo Rwanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata zamani sijawahi angalia[emoji23]
Kuna kadogo kangu kamoja kanapenda haya mambo...kaliwahi shiriki..aisee hela Hana anakopa ili anunue nguo aende shiriki umiss chuo.
Kweli urembo ni hobby.
Ooh sureWote wacute[emoji7]
hahahaaa... unaonekana ulikua hatare sana ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya barua haya, utotoni raha sana.
Watu walipigwa mateke ya tumbo. Woiiiiiiiiih.
Karibu mjini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapa wenye vichwa vizito tumetoka weupe kama karatasi
Ah pole sanaNamuona x wangu hapo Ila fresh tu [emoji52][emoji52]
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]Ngoja tuweke mambo sawa na mr shos !![emoji8][emoji8][emoji8]
Ngoja nipambane tu na vitabu😒Karibu mjini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnoooo!!Duuh vijijini changamoto napo sometimes
Usalia msikit gani ustaadhat nije tupate thawabu wote
Eti eehHaya mashindano 80% wanashindaga mabinti wa kichaga sana