Kabisa aseeh ! Mie nataka potential areas hata mtu ukiwekeza na kufanya mambo yako panakubali sasa huku uwiiii!! Afu vijijini nuksi kweli ukianzisha biashara akaja mteja usipomkaribisha au kumsalimia kwa vernacular language itadodaa!!🙆🙆🙆 kuna Ukabila mnoo mnoooo yani na figisu nyingi sana kutokana na ile majority kabila moja !! Kabila lenyewe sasa!!🤔🤔
sema mie nawakubali R na F wana behave kisomi na smart, wanaonesha umuhimu wa kuwa na Elimu, ila R anajua kutetemesha, anatema yai had chimbo linatikisika, yaan kimalikia chake kimenyoooka mno, ndo raha ya kusoma majuu.
Afu kumbe F kamaliza UDSM 2015, mie nilijuaga mtoto mwenzangu wee siku hiyo acha aniweke wazi nlishtuka, ana muonekano wa kitoto.
N mswahili sana, some time wakianza kukwaruzan na J lo, bas mambo mareshhhh.
Kabisa aseeh ! Mie nataka potential areas hata mtu ukiwekeza na kufanya mambo yako panakubali sasa huku uwiiii!! Afu vijijini nuksi kweli ukianzisha biashara akaja mteja usipomkaribisha au kumsalimia kwa vernacular language itadodaa!!🙆🙆🙆 kuna Ukabila mnoo mnoooo yani!