Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kwenye huo ugali nitaongezea kununua samaki
Hallelujahmie mpoleee jamani mniwache kabisa Karma bint Mohamed,, sijawahi mjibu mtu vibaya humu jamani mimi
AiseeeNdondo hapa



Yeah, tayari nishakuwa mzee. Kwani unadhani uzee unaanzia umri gani binti
Hahaha, le mutuz ni mdogo wangu. Yeye 56 mimi 58.Kuanzia umri kama wa Le Mutuz![]()



hata mimi nimegundua hilo yaani JF kila mtu mzee basi hata mimi mzee kwani sh ngapi
Hamna mzee hapo
Sawa mdogo wangu
Moja dear
Nasubiria jibu
Niko hapa wanapaitaje sijui?!
Naona ofisi za Dar express, Dar Lux...
Umeona eeehhh
Na wewe mfuruge kabisaa



hapana ila ni kwamba tu mimi sina mirinda nyeusi
Ndo style ya kunifukuza auu



hamna ni vinene halafu havina kucha mezikula zote
Vyambambaemu nioneshe huko kwa waziri mkuu nihakikishe
Sh 10hata mimi nimegundua hilo yaani JF kila mtu mzee basi hata mimi mzee kwani sh ngapi
Sawa mdogo wanguUkifungua niite