Hapo hapanaga jina 😂 ni hivyo hivyo dar express/ konaNiko hapa wanapaitaje sijui?!
Naona ofisi za Dar express, Dar Lux...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nenda tu huko mama,, maana kwangu utakutana na divai na vileo tu..
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo hapanaga jina [emoji23] ni hivyo hivyo dar express/ kona
Vyambamba 🙈 emu nioneshe huko kwa waziri mkuu nihakikisheWewe vyako si ulivituma mbona vizuri tu?? Hamjaona vyangu ninyi!!
Yaani laiti mngeviona hivi vidole vinavyoandikaga pumba zote zile mngenitukana
Nimekwambia IAA au unataka twende Grand Melia 🏊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ushakuwa mjanja mjanja sana!! Sasa nielekee wapii
Mimi naona kote kumefanana banaUnavurugika na nini sasa? Basi nikukute stand kubwa
Karibuuu mweeeh! Nakusubiria hapa IAA tumia gugo map ufike chap
Kumefanana wapi na wapi, dar express hapo ukishuka kwa huku chini kidogo ndio stand kubwa ila kote kubaya tuMimi naona kote kumefanana bana
Ukijibiwa uniite twende wote
EeeeehhhNimekwambia IAA au unataka twende Grand Melia [emoji474]
MmmhhhKumefanana wapi na wapi, dar express hapo ukishuka kwa huku chini kidogo ndio stand kubwa ila kote kubaya tu
Sasa mbona we ulimjibu au unahisi sikuona 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani amemquote nani eti jamani
Wa kauli nzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]