Amen, Nimebarikia sana mama ππBarikiwa sana mtumishi!
Wakishua huli ugali sioπMlenda sawa ila ugali hapana πππ Mlenda naweza nikamaliza sufuria ila usilete story za ugali
Hio hapo shos ngoja nikuite tena tuoneMbna sioni huku kwa notifiez lol.
Lini tukapige nyama pori tupaange mwezi mmoja mbelee eeeh ππ nikirudi kutoka kanani land π π πThis time tutaroast nyama poriππ
Tupate ladha tofauti
Hivi hii mada iko jukwaa lipi? Huenda nika search mweehHio hapo shos ngoja nikuite tena tuoneView attachment 2230484
Huwezi kula kitu mtoto mzuri, wewe hujawa pig π π π naamini kuna vyakula nakula pia wewe hulii.. ugali na mlenda nachagua mlendaaa sio kwamba ugali sili ila haunivutii zaidi ya mlendaaaWakishua huli ugali sioπ
π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ As usualThis time tutaroast nyama poriππ
Tupate ladha tofauti
Niletee zawadi za huko kwanzaππLini tukapige nyama pori tupaange mwezi mmoja mbelee eeeh ππ nikirudi kutoka kanani land π π π
Hivi hii mada iko jukwaa lipi? Huenda nika search mweeh
Me nakula kila kitu kasoro mchanga ππHuwezi kula kitu mtoto mzuri, wewe hujawa pig π π π naamini kuna vyakula nakula pia wewe hulii.. ugali na mlenda nachagua mlendaaa sio kwamba ugali sili ila haunivutii zaidi ya mlendaaa
That's wasapππ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ As usual
Wakali wa hizo kaziβ¦
Niletee zawadi za huko kwanzaππ
Unarud lini?
Af twende tukale nyama saiv meno yangu yako fit nimeshayatibia.
Kwa nini nikutenge mkuu sina sababu ya kufanya hivyo kwenye mlo wako matunda yasikose kuimalisha kinga ya mwiliπ€·πΌββοΈUsinitengee basi π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή nikune hata kwa mti, ili upate thawabu
π π π Pig anakula hadi mchanga sasaaa .. mbona siku ile tukiwa na spidernyoka hatukukuta ugari tulikua tambi tambi na mayai...Me nakula kila kitu kasoro mchanga ππ
Sasa ndio mlo wetu huku uswazi... yaan ugali hauepukiki si asubuh, mchana wala usikuπ
πππ basi nimefuta swali hilo, sikujua mweeHatutaji kuondoka kwetu wala kurudi kwetu π π π
Anza kufanya mazoezi ya meno sasa π π π
π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή Matunda najitahidi kula na maji na mazoezi .. uje uniombee duaKwa nini nikutenge mkuu sina sababu ya kufanya hivyo kwenye mlo wako matunda yasikose kuimalisha kinga ya mwiliπ€·πΌββοΈ
π π π π π Unaenda kula wapi nisije kuwa mie ndio mchomaji nikuandalie nyamaa nzuriiiπππ basi nimefuta swali hilo, sikujua mwee
Kesho jion nina ratiba ya kwenda kula nyama choma
So natumai had urudi mazoez nitakua nishafanya ya kutosha, tukafanye yetuπππ
Nshainyakaaa, sema ep ya jana codes nyepesi sanaaa.Jamii Intelligence shos search kwanza