Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni ndugu, kaka yangu, na wapendwa katika Kristo. Maisha yana history.. Kitu kizuri Mungu alituita kabla ya kuwekwa misingi ya dunia ( Mungu analinda kusudi lake ndani yetu kwa kuachia neema na rehema ) Mungu anaangalia mbele yetu na sio nyuma ( mapito yetu ) yeye Mungu nitangazaye mwisho tangu mwanzo, na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado; nikisema, Shauri langu litasimama, nami nitatenda mapenzi yangu yote.

Tuna wengi Apostle Paul history yake ilikuwa kama unavyojua Apostle Peter , Prophet Isaih.. kuna nyakati Mungu anaruhusu tupite mahala ilikuunda picha yake ndani yetu na kuelewa na kutufanya kuwa humble.. binafsi issue pekee ambayo nilikuwa na strugle nayo miaka na miaka na nilikuja jifunza badae kwanini nilikuwa nina strugle hapo .. ili nifanye niwe na hofu na Mungu na kumuogopa na kujua haikuwa kwa uwezo wangu kutoka pale bali Mungu ali ruhusu ili nijue kabisa kwamba yeye ndio mkombozi wangu, nilikuwa na Utakatifu na mtazamo wa utakatifu wa hali ya juu sana kiasi kwamba nikawa najiona kama Mungu, ndipo nilipo anza chezeshwa na zambi moja tuu hadi nilikoma ilifika kipindi nilikuwa nakataa tamaaa completely nilifanya kila nilichoweza waaapi funga waapi ombaaa waaapi .. kupitia haya mambo ana tutengeza πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…