Selfika na JF: Snap it. Show it

koti la urithi nilipewa
Wee mpumbavu nn, eti "koti la urithi nilipewa" aibu huoni?
Nitoleee ujinga wako, badilika wee falaa acha kujizeesha na kujiharibu. Wee vipi khaaaah.

Ole wako upost tena picha za nguo za kiwaki. Jinga wee. Kijana mzima huna washauri? Marafiki wa rika lako.

Qumamaqe acha ufalaa pimbi weee.

Umeniboa mnoooo. Khaaaah.
 
it was wonderful to chat with you, i've got to get going, jamani mimi ni mtani tu sorry kama kuna mtu atakuwa amechukia kwenye chatting za hapa na pale, it was nothing serious, sijawahi kuchukua mwanamke yeyote humu, mie ni mtu wa utani tu.

Bye for now, till we meet again.

Adios.
 
Wale jamaa wa intellegence wa uzi wa "dark days 17/03/20"

wakiingia kwenye anga zako hizi za kujidai sijui watakutana na kitu gani kizito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…