Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Mmhh mtu wa kwanza kukutana naye?? Wa hapa JF?? Ina maana haujawahi kukutana na mtu yeyote wa JF??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu muongo haukufungua mbona Mshana Jr anasema ulimkimbiza hadi kwa waziri mkuu halafu haukufika??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu muongo haukufungua mbona Mshana Jr anasema ulimkimbiza hadi kwa waziri mkuu halafu haukufika??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiwooo
Tutakutana dear!
Wala huu mwaka hautaisha [emoji39][emoji39][emoji39]....
Naomba uwe mtu wa kwanza mimi kukutana naye! Najua wewe ni kadogo nitakuonea tuu!!
Ulichonifanya jana na Mshana sina hamu! Mewasubiri mpaka nikachokaa, halafu mlileft pamoja haki!