Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilikuwa na jamaa yangu tumetoka nje tumekaa kwenye parking ya bar, si nikaona pisi mbili zimenyooka sana zimeagamia gari, nikasogea, manzi mmoja amenyooka sana, walikuwa wanavuta bangi, mmoja mweusi na mwingine mweupe, yule mweupe alikuwa mkali kinoma ana lafudhi ya Arusha, jamaa yangu kamuelewa mweusi tukasema tugawane.

Yule mweupe nahisi ni chotara sijui wa kizungu/mhindi, anaongea sana, anavuta bangi anapuliza moshi wote kwangu, mwenzangu kaanza kukagusa kale keusi kiuno kakaanza kulegea, huku mimi nakomaa na yule mweupe, huyo mweupe nikagundua ile gari ni yake Subaru Forester XT ina pua itakuwa turbo(nikasema hapa kazi ipo, waendesha subaru akili zaoπŸ˜‚), yule manzi mweupe akaanza kumzingua jamaa yangu, kumbe yule mweupe anamsaga yule mweusi,sasa kale keupe kalikuwa kanapambania penzi lake nasikia kanasema "we dem unacheka nini, ingia kwenye gari".

Yule mweupe baada ya kuona jamaa anazidi kumlainisha baby yake ikabidi alianzishe, jamaa yangu akamlamba mtama akatulia mkono πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ,nikasogea nikamnyanyua alikuwa amelewa, nikaona leo sipati kitu, akawa analalama amemuumiza mkono.

Baadae waliingia garini nikafika dirishani nikawa namuelewesha aniachie hata namba, nilibaki kukariri plate number tu, hio subaru ilivyotoka hapo niliruka pembeni,nilibaki na nguo inanuka bangi tu, licha ya kufahamu ana tabia hio lakini uzuri wake ulikuwa ni πŸ”₯πŸ”₯.

Huyu dada kwa jinsi alikuwa mkali nikaanza kuwaza hivi huyu hawezi badilika kabisa? nilijiuliza sana, alikuwa mzuri balaa.

Nilijishangaa sana mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…