Ayeyeeeee naanzaje sasa ππNiandikie kwanza lyric huyu jamaa anasemaje..
View attachment 2229251
Mie tena Usiwaze!! Afu jana tu nimerushiwa mavocha meeeeeeengiii na mrashia!π³π³π³π³π³π³π³ Tatizo ni vodaaaa tu ingekua natumia halotel ningekupunguzia shos so mpaka nitoke porini huku ndio nikanunue!kwanza usisahau vocha hiyo baadae.
Kama hukumuaga mama Pasta ukamdanganya upo kwingine; utajutraaaUmepiga gari yangu picha π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή
Maneno amewaachia waswahili.kabisaaa ana tuokoa sanaaa.
Mr vocha hoyeeeeeh.
kabisaaa ana tuokoa sanaaa.
Mr vocha hoyeeeeeh.
Kwa chambo,?Chungulia vizuri
SawaHaya utaleta feedback
Zile vocha nikiwapasia majobless wenzangu wanafuraahi si mchezoHurrrrrayyyyy kwa mr Vocha hurrrrrayyyyy!!π€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έ
Mungu ambariki na kumzidishia zaidi na zaidi kwakweli!!
Basi inabidi washughulikiweHata mchana matapeli wapo chini hapo ya daraja..ukitoka stand ya daladala.
Wanadanganya watu mchana kweupe kwamba kama wanaenda stand ya magufuli basi wapite njia ya pembeni ni shortcut,wanaonyesha njia nyingine insenda kwenye kiporo fulani na si hapo darajani..huko wanaibia watu.
Huwa nawaza sijui ni watu wangapi wageni wameibiwa maskini.
Mie tena Usiwaze!! Afu jana tu nimerushiwa mavocha meeeeeeengiii na mrashia!Tatizo ni vodaaaa tu ingekua natumia halotel ningekupunguzia shos so mpaka nitoke porini huku ndio nikanunue!
Maneno amewaachia waswahili.
Pigeni porojo yeye anakuja tu na vocha
Mnooooh abarikiwe huyu baba jaman.Hurrrrrayyyyy kwa mr Vocha hurrrrrayyyyy!!
Mungu ambariki na kumzidishia zaidi na zaidi kwakweli!!
π€£ππ€£ππ€£ππ€£π€£π€£π€£π€£!! Jiandae kuwa na speed ya kuingiza vocha kwa haraka nimepanga kushea na selfika family vocha!! Ngoja tu nitulie !!Zile vocha nikiwapasia majobless wenzangu wanafuraahi si mchezo
DuhWa kukituliza yupo na anaona hapa. Ko kuwa mpoleeeeh tyuuuh
Hapana. Mbali sana huko.Kwa chambo,?
Nimesikia tiktok na JetLee nika google anasema πAyeyeeeee naanzaje sasa ππ
Tiktok shit
Thatβs my new sijui niiniiii
Kibwagizo freshiiii
Khaaa emu Lenie nisaidie πππ
Nakumbuka zamani za kale, nilikuwa naomba Mungu sitaki mwanamke mpole , nataka meanamke wa kumbadirisha tabia ( bangi hizi ) one day nikaingia casino moja nikavutiwa na mdada mmoja khaaa alikuwa kama kaumbwa nikasema laulaaa Mungu kajibia maombi kitu si ndio hiki.. ile ki gentleman nikamfata mtoto π π π nikawa kauli mbili ya kwanza bei gani akageuka akakata jichooo kali hilo π π nikavunga kama hajanisikia nikamuambia nataka tu company π π π au basi .. But wanawake wote wazuri na wanaume wote wazuri ila hadi upate wa aina yako hakuna mtu mmbaya ila kuna walio zidi excellenceNanyie wanaume sasa Wanaume wa mizagamuano wamejaa tele ila waoaji sasa ndio wachache sanaaaa!!
Sema hayo mambo ni asili tu ya mtu tu baba pasta haijalishi ni mwalimu au nesi.... Kuna walimu manesi vichomi balaaa
Duh
Hao wasio like
Wala ku coment
Saa ngapi??!! Jiandae kuwa na speed ya kuingiza vocha kwa haraka nimepanga kushea na selfika family vocha!! Ngoja tu nitulie !!