π π π eeeh ... ivi vinyoleo vinanichanganya sana , vikiwepo kichwani vinaitwa nywele, kwenye kidevu wanaita ndevu au mustach, kwenye makwepa wanaita nywele za mwakwapa za down kati hapo eti zinaitwa vuzi sijui alifikiria nini alie kuwa ana vipa majina, miguuni na mikononi nafikiri wanaita malaika π π π π
shouzzzzzzzz nimecheka hapaaa, sina mbavu wallah. Kwa mkono wapi? Ni kidoleee bhanaaa, napapasa tyuuh km sio kukuna, mkono si ntapiga niue, sitaki jela mie, Dona la uhuru bado nali maindi kinyamaaaa.
shouzzzzzzzz nimecheka hapaaa, sina mbavu wallah. Kwa mkono wapi? Ni kidoleee bhanaaa, napapasa tyuuh km sio kukuna, mkono si ntapiga niue, sitaki jela mie, Dona la uhuru bado nali maindi kinyamaaaa.