Tena kuna kazi zingine tunajipaga wenyewe kabla hatujapewa hahaHiyo ni man's nature
Huku simiyu nimeshalipia Kodi yangu ya chumba mwaka mzima hapo kwa pesa iyo ya garbage collector.
Mbinu hizo huwa Zina involve kuazima magari ya wana
Eeh noma sanaTena kuna kazi zingine tunajipaga wenyewe kabla hatujapewa haha
Haha hii yote umpate mrembo jmn aahEeh noma sana
Mimi nimekuuliza ulipaswa unijibu kuna mahala nimeandika ndege ilitua baharini? anyway Hudson River, New York ndege ilitua majini na hakuna hata abiria alifariki zaidi ya majeruhi.Nilikuwa na watch ID ya Dstv
Nikadhani naongea
Kumbe nimeandika
Kunradhi
Imani yako haikuruhusu kupika ugali?Mi hapana,imani yangu hairuhusu
Watanisamehe
Sasa Simiyu huwezi linganisha na Dar su Arusha mkuu.Huku simiyu nimeshalipia Kodi yangu ya chumba mwaka mzima hapo kwa pesa iyo ya garbage collector.
Mbinu hizo huwa Zina involve kuazima mpaka magari ya wana
Ooh kama moyo umempenda unafanya tuHaha hii yote umpate mrembo jmn aah
Na ukikubaliwa kufanya kazi ya kujitolea..unasema jes hhahaOoh kama moyo umempenda unafanya tu
YOLO
Ndo shida ya miji mikubwa hiyoSasa Simiyu huwezi linganisha na Dar su Arusha mkuu.
Hiyo pesa ya gabeji hata huwezi kwenda out na mrembo haha
Sema sindo mnavyopenda Bila uwongo uwongo hamkamatiki kirahisi.
Ukipigwa tukio ndio unapewa uhalisia ebana eh mi maskani temeke mikoroshini huku mbezi beach huwa nakuja kushinda tu na kupiga mission zangu
Mila za kuacha zipo ila siyo hii...Yani hizi mila aisee
Inabidi nyingine tuziache tu
Ooh sureNa ukikubaliwa kufanya kazi ya kujitolea..unasema jes hhaha
Jeez… Niombe msamaha you offended me.. I voted for Mkapa twice.Kumbe dogo tyuuh. Lol.
The miracle on the Hudson. Captain Sully Sullenberger aliupiga mwingi siku hiyo. Mungu Alikuwa nayeMimi nimekuuliza ulipaswa unijibu kuna mahala nimeandika ndege ilitua baharini? anyway Hudson River, New York ndege ilitua majini na hakuna hata abiria alifariki zaidi ya majeruhi.
Unafahamu retractible landing gear na fixed landing gear? ili nikueleweshe vizuri..
Morogoro, choma water falls eti
Hata hujampata ni zile dalili tu hahaOoh sure
Mradi umempata mrembo
Mila za kuacha zipo ila siyo hii...
Niliwahi kutinga Misungwi na pisi ya Kiholanzi. Asubuhi wazee wapo pisi ikaingia kupika ugali wa kula wanaume wa Kisukuma karibia 8 na ugali ukatoka vizuri. Wazee wote weweeeee! Tumekula ugali wa mzungu...na utafikiri umepikwa na binti wa Kisukuma. Kumbe mzungu mwenyewe ame-volunteer sana kwenye orphanages huko Kenya na Uganda na anajua kupika ugali na ndizi hatari.
Usukumani huko at some point lazima ugali utaupika tu tena ugali kweli siyo mchezo.....
Mfano tu huyo wa;Ooh sure
Mradi umempata mrembo