Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,308
Kusonga ugali na jiko la kuni raha wewe,,,mikono yako yote inafanya kazi ya kupambana na mwiko.Mbaya zaidi ukweni uko ukienda hata kama wanauwezo wa gas; mkaa ila utakuta wanakupeleka kwenye jiko la kuni ukaungue na Moshi si huwa wanaamaana gani? Au ndio huwa mnatafutiwa sababu
Sufuria sio kubwa kihivyo ndio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie sasa hapo kwa sufuria gan? Mie kijijini kwa bibi napika sufuria ya kilo 4 na nautoa ugali testaaah. Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mood uliokuwa nayoo, ikutoke haraka mnooo lol.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shosteee,,sitaki tabu mie..ni raha tyuh!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
na ole wako ushindwe? Utasikia kamjini akoWanafundisha maisha, je maisha yakiyumba mkaa na gas hakna?
Lazima vipimo vya waifu matirio viwepo.
Shauri zao,nisiponasa neno hata moja si ndio vizuri wanakuwa wamejihangaisha tu kunisema[emoji1787]Memo zitasambaa ukoo mzima, tumelishwa ugali mbichi tumelishwa ugali. Na hapo Ni kilugha tu mtoto wa watu hunasi hata neno mmoja
Relaaaaaax!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mood uliokuwa nayoo, ikutoke haraka mnooo lol.
Ooh sadMbaya zaidi ukweni uko ukienda hata kama wanauwezo wa gas; mkaa ila utakuta wanakupeleka kwenye jiko la kuni ukaungue na Moshi si huwa wanaamaana gani? Au ndio huwa mnatafutiwa sababu
Woooi tunakusubiri shoossss![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ubuyuuu mie siwezi kosa, mbna uko wa kutosha sana. Naona uvivu kuandika uzi.
Nipo hapa kuna umbea wa mtaani napewa tsup, uwiiiiih
Lazima aoneshe uwezo wake kwani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sufuria sio kubwa kihivyo ndio
Nimeshangaa bibi harusi kusonga ugali kwenye sherehe yake mwenyewe .
Siyo Kwa kukupilikisha Lile sufuria la kula umati wa maelfu ya watu [emoji1787]Ooh sad
Sina experience
Lakini huko ukweni wanataka waone kama unafit vizuri hiyo position ya mke .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na ole wako ushindwe? Utasikia kamjini ako
Msieeeeeew, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] nakuambiaje yatakushinda wallah.
Nyooooookoh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msieeeeeew, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jomoneh?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] nakuambiaje yatakushinda wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeh
Kwenda hukooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyooooookoh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
HahaSiyo Kwa kukupilikisha Lile sufuria la kula umati wa maelfu ya watu [emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app