Mjifunze kupika, tena km mie nakupikisha ugali wa ukoo mzima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah tuanze practice [emoji23][emoji23]
Nimezoea ugali wa watu wachache pia ...
Hilo muhimu kusaidiana wawili la sivyo ugali unaweza toka na mbichi Kiana .
Mimi siku nyingine ugali huwa unanishinda.Familia zetu hisi za kiswahili Zina maneno maneno sana. Siku ukishindwa kuwasongea kijiugali cha watu wa tano utasikia Kaka yetu kapigwa hapa, hakuna mke kabisa. Kwaiyo Ni muhimu kuzingatia
Wanawakuta hapo wanawake wenyewe, km mie huyo mama mkwe na mawifi wajiandae, maana ufukunyuku,gubu, visa na vituko hapa ndo pake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Full kuzabananga woiiiih.
Sufuria kubwa sana Hilo aisee[emoji3064]Ah wanawasumbua wadada wa watu .
Ooh yeah kama hujazoea sufuria kubwa hapo ni shida .
Mambo yao tuwaachie wenyewe
Hauko seriouz hata, akuuuuh wala.5580500746571
Tunajua semaMjifunze kupika, tena km mie nakupikisha ugali wa ukoo mzima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiii umeikosa???Hauko seriouz hata, akuuuuh wala.
Kaanze upyaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua naenjoy sanaaaa. Woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie sasa hapo kwa sufuria gan? Mie kijijini kwa bibi napika sufuria ya kilo 4 na nautoa ugali testaaah. Lol.Tunajua sema
Ugali mwingi ndo sijawahi kupika ... napenda sana kupika ile mbaya ..
Hakawezi kupata,kanasoma comments za juuNa hiii umeikosa???
Mbaya zaidi ukweni uko ukienda hata kama wanauwezo wa gas; mkaa ila utakuta wanakupeleka kwenye jiko la kuni ukaungue na Moshi si huwa wanaamaana gani? Au ndio huwa mnatafutiwa sababuAcha tu
KFC na Pizza hut ni junk food tu sio chakula cha maana .
Siku hizi zipo hadi mashine ya kukanda ngano na inatoa chapati vizuri .. sema hizi appliances zinatusaidia na kutuharibu pia
Kaanze upyaaa na sio hapa sasa.Na hiii umeikosa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] nyie nna mambo mengi yaan wee acha tyuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua naenjoy sanaaaa. Woiiiiih
[emoji23]Marahaba mdogo wangu
Bila shaka uko poa?
Mida ya live bila chenga hii
Nilijua tu utakosa shos[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] nyie nna mambo mengi yaan wee acha tyuuh
Wanafundisha maisha, je maisha yakiyumba mkaa na gas hakna?Mbaya zaidi ukweni uko ukienda hata kama wanauwezo wa gas; mkaa ila utakuta wanakupeleka kwenye jiko la kuni ukaungue na Moshi si huwa wanaamaana gani? Au ndio huwa mnatafutiwa sababu
Memo zitasambaa ukoo mzima, tumelishwa ugali mbichi tumelishwa ugali. Na hapo Ni kilugha tu mtoto wa watu hunasi hata neno mmojaMimi siku nyingine ugali huwa unanishinda.
Haimaanishi kwamba sijui,ila tu ni siku hazifanani.
Sasa wakiangukia siku mbaya ambayo ugali umenishinda kusonga ndio basi tena
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
JomoniiiiNa hiii umeikosa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ubuyuuu mie siwezi kosa, mbna uko wa kutosha sana. Naona uvivu kuandika uzi.Nilijua tu utakosa shos[emoji23]
Itakuwa upo kutafuta ubuyu uje uumwage humu lol
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app