Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kama hiyo ni mauaji ya wazi kabisa.Yani hizi mila aisee
Inabidi nyingine tuziache tu
Hilo sufuria najaribu kulikadiria pekeyangu siwezi kusonga.Eeh noma sana
Na jua lote hilo
Marahaba mdogo wangu
Bila shaka uko poa?
Mida ya live bila chenga hii
Ooh upo sahihi kabisaFamilia zetu hisi za kiswahili Zina maneno maneno sana. Siku ukishindwa kuwasongea kijiugali cha watu wa tano utasikia Kaka yetu kapigwa hapa, hakuna mke kabisa. Kwaiyo Ni muhimu kuzingatia
Usiniangusheeee😅
Tena bibi harusiKama hiyo ni mauaji ya wazi kabisa.
Sufuria lote Hilo anaachiwaje mtu mmoja?
Si atavunja mikono jamani!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kizazi cha kidigital nyie watu wa KFC na Pizza hut.Ooh upo sahihi kabisa
Maneno hayaishi kwa familia zetu .. ah muhimu tuanze kujifunza tu mambo mengine .
Unaweza kuvunja mikono unajionaTena bibi harusi
Mambo mengine magumu aisee
Ah tuanze practiceHilo sufuria najaribu kulikadiria pekeyangu siwezi kusonga.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nitavizia kama unavyonivizia na vochaUsiniangusheeee
ndoa ngumuKama hiyo ni mauaji ya wazi kabisa.
Sufuria lote Hilo anaachiwaje mtu mmoja?
Si atavunja mikono jamani!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Safi.Nimeona huko siku ya mahari Bibi harusi anasonga ugali akiwa amevaa nguo zake View attachment 2228529
Ugali najua kupikaAh tuanze practice
Nimezoea ugali wa watu wachache pia ...
Hilo muhimu kusaidiana wawili la sivyo ugali unaweza toka na mbichi Kiana .
Acha tuKizazi cha kidigital nyie watu wa KFC na Pizza hut.
5580500746571haya nioneshe hiko nilichopitwa.
Siyo kihivyo.ndoa ngumu
Wanawakuta hapo wanawake wenyewe, km mie huyo mama mkwe na mawifi wajiandae, maana ufukunyuku,gubu, visa na vituko hapa ndo pake.Familia zetu hisi za kiswahili Zina maneno maneno sana. Siku ukishindwa kuwasongea kijiugali cha watu wa tano utasikia Kaka yetu kapigwa hapa, hakuna mke kabisa. Kwaiyo Ni muhimu kuzingatia
Mxieeeeewteenaaah, huyo mbna tunawezana, huenda mie nikawa mnyonge.
Ugali najua kupika
Tena hasa kwenye jiko la kuni,,ndiyo maisha niliyokulia hadi sasa.
Ila hilo sufuria siwezi kupika aisee..
Kama uwaifu matirio inapimwa Kwa kusonga sufuria lote hilo mtu mmoja aisee mimi ningefeli.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app