Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,482
- 203,154
HahahaBrazaaaaaaa, niaje aisee......
Sikutulia nilikuwa masafa....
Hebu selfika basi....😁
Ni good aisee, hamna kabaya!
How’s you?
Ukiwepo niite nitaselfika 🤣
HahahaBrazaaaaaaa, niaje aisee......
Sikutulia nilikuwa masafa....
Hebu selfika basi....😁
Basi ngoja nitulie, ntakustua braza....Hahaha
Ni good aisee, hamna kabaya!
How’s you?
Ukiwepo niite nitaselfika 🤣
Sawa mkuu, mimi mwenyewe natamani kufanya hivyo ila simu walioniachia kaka zako imenifananya niwashitaki kwa mjumbe.Mara moja moja Fanya kutubariki na selfii yako mkuu!!
hahahahahaSawa mkuu, mimi mwenyewe natamani kufanya hivyo ila simu walioniachia kaka zako imenifananya niwashitaki kwa mjumbe.
Nawasubiri wajukuu wakifunga chuo waje wanifotoe nami nitokemo humu.
Enzi za ujanaNa mama bae enzi zetu.View attachment 2228280
Shukrani.Enzi za ujana
Hongera mkuu
Kwa kweli kakishundu ka kujishikilizia lazima kawepo Mama MchungajiWewe na kimbaumbau???? Basi lazima kana tako







Yaani weweKwa kweli kakishundu ka kujishikilizia lazima kawepo Mama Mchungaji![]()


Ewaaaaaaaaaaa napendaje. Can't waitJana kwenye birthday nilitupia mambo yako upendeleayo nikitulia nitatuma japo kamera sijui imeingia vumbi kha!
Umerudi eeehSubhana... Jumapili Leo usinitoe udhu tafadhali
Narudi huko jioni, Jimbo Rafiki Jimbo!!!View attachment 2225478
Jirani tumekusubiri hujatokea, ndiyo tunamaliza kula chakula tulichokuandalialakini mtu huyu ndiye nitakayemwangalia, mtu aliye mnyonge, mwenye roho iliyopondeka, atetemekaye asikiapo neno langu.
Heaven Sent mamaaaa pastaaa jiraniii badae badae mitaa flani hapo 😅😅😅
.hahahahaha
HahaaaaAchilia vitu binti Abiudi
Jana voda walichonifanyia,acha tu wizoAah wifi ake. Em selfika kidogo kwanza