Mama la Mamaa mahondaw umelala au unatucheki kama guest user πππ fanya namna maana wewe ni namba ingine uzuri na urembo wako haulezeki hata wanaotumwa kukuhujumu ili nafsi yako iiname wameisha fail tayari wewe ni habari ingine ingine matawi ya juu hadi mbinguni yanafika .. ebu fanya namna wajomba tufurahi alafu tulale ππ₯π₯π₯π₯ mama usiw na mkuu mpolena mtulivu mwenye huna makuu wala sio muongeaji eeh yani yule mwanamke wa mithali ndio wewe
Hapana baba pasta napitaje kimya kimya na sidaiwi vyama nishalipa na Sitoki na mume wa mtu π€£π€£π€£ππ€£!!
jana usiku nilikua nasherehekea birthday ya bossi wangu mjomba!
Hapana baba pasta napitaje kimya kimya na sidaiwi vyama nishalipa na Sitoki na mume wa mtu π€£π€£π€£ππ€£!!
jana usiku nilikua nasherehekea birthday ya bossi wangu mjomba!
π π π Una akili mingi najua huwezi toka na mme wa mtu huo ni ushamba ambao huwezi fanya .... πππππ haijabaki hata kipande cha keki tuje na spidernyoka kulaa maana tumeamka na njaa bado tunatafuta direction... Bossi mwenyewe jana alifaidi mwakani itabidi iwe kali zaidi ya hii
π π π Geto boys tupo hapa tunafuta direction ya kupata hata msosi wa asubuhi ... ili mchana uwe mwemaaa ... kama boss alibakisha keki hata kidogo itatusukuma sukuma