Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwakweli heshima ifate mkondo hawez kuwa na mmoja sawa anamatamanio sijakataa sasa ndo Hadi useme kwanza mwanaume wangu nikikufumania nakuacha huna vigezo mwanaume unafumaniwaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaume hatakiwi kabisa kufumaniwa [emoji23][emoji23] nimepaelewa hapo.
 
Mimi nisiambiwe hizo habari kabisa. Tunajua kabisa wanaume wapo vipi lakini nisijue afanye mambo yake kimya kimya. Mume anauma weee (japo sina hata huyo mume [emoji23])
Wee sema kinachouma sio mume...ongea ukweli ...kinachowauma nyie ni ile kuwa hela kapewa mwanamke mwengine🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi nisiambiwe hizo habari kabisa. Tunajua kabisa wanaume wapo vipi lakini nisijue afanye mambo yake kimya kimya. Mume anauma weee (japo sina hata huyo mume [emoji23])
Unaniambia "mme wangu huko uliko najua kuna wanawake wengi wazuri kuliko mimi, najua unatafuta na utakaa muda mrefu, nilikuwa nakuambia tu kama ikitokea unahitaji mwanamke nimekupa ruhusa......lakini...."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…