Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen jirani Pasta
Baraka za walio tutangulia muhimu sana, hapo walipofika kuna neema ya Mungu imewafikisha . Inapotokea akakubariki anaruhusu neema ile ile iliyo mvusha ikuvushe na wewe.

Baraka za wazee ( wakubwa Mungu huzieshimu sana wanapoziachia na huwa zina nguvu sana) , Jakobo alibariki nyumba ya Farao na ile baraka ili work kwa kina Farao ( lineage yao yote ) hadi yule Farao wa mwisho unaweza tazama picha ya Farao ila alikuwa vile kwasbabau Jakobo alibariki. โœ๏ธโœ๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ