Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen.

Ni neno zito sana kwangu la baraka sijalichulia kiwepesi. ( Kuna hali imekaa sawa ndani yangu kwa hili neno )

Nilifundishwa na mwalimu wangu mmoja, umuhimu wa maombi na baraka kwa mtu yoyote alie kutangulia anapiziachia kwa namna yoyote ile.m, ikiwa unataka maisha marefu , mafanikio ya mwili nk, For me hili ni neno la kibanii kwangu na ulichosema naamini umeandika prophetically πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Sina la kuongea , ila kila ulichoa andika kitatokea..

So will My word be which goes out of My mouth;
It will not return to Me void (useless, without result),
Without accomplishing what I desire,
And without succeeding in the matterfor which I sent it.

πŸ™πŸ™πŸ™ Amen
 
Amen!

Amen!

Amen!

 
Hapo lazima upige nduruu gari bovu, utamu wa RR iwe within warranty kitu ambacho bongo ni rare sana.
Ukikaa barabarani gari nyingi ni 40million kushuka chini ndio zimejaa hapa Tanzania. Na wengi wanachukua Auction grade 3.5 , 4 wachache na kushuka chini, zilizo 4.5 na 5 kipengele kwa wengi bei unakuta zimesimama.. Na wengi wananunua magari ila uwezo wa kuyatunza bado hata hizi hizi za 15 millions bado zinasumbua watu kuzitunza
 
Amen jirani Pasta
 
Ooh wengi wanafumua
Maana si kwa maumivu yale .. sema tunakaza tu wengine .
Yan acha tu dadaangu alipumzishwa hospitali alienda anahoma dokta akampa kitanda apumzike
kupima hmna homa dokta akjiongeza akimuanglia kichwan kichwa kimewamba akachukua mkasi akakata kata nywele
akamwambia aya pumzika kidogo tutaendelea na vipimo
alivoruhusiwa akakta na nywele kabisa zilizobaki Uzi uheshimiwe
 
🀣🀣🀣🀣🀣 nilikuitepo ili ukuje

Af niliangalia sijaona, ngoja nikachek tena
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ njoo tuchatie hapa, kule unaniumiza mbavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…