Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Hapo lazima upige nduruu gari bovu, utamu wa RR iwe within warranty kitu ambacho bongo ni rare sana.π π Buyer wa kwanza katoa 400 millions, anakuja mtu gari hiyo hiyo anachukua kwenye mnada kwa 40million, unafikiri ataweza sasa kuhudumia hapo lazima apige mayoyeee π π π Zisingekuwepo namba A zinadunda humu
mitaani kama mabovu
Ooh kumbe , huwa zinauma sana tena ukute ana mkono mchungu hapo maumivu yanazidiMimi ni muoga sana wa mabutu ya kusokota uwiii
Mwanafunzi nilikuwa nasema umependeza sana.Niambie mwalimu
Nakumbuka nilisukwaga zamani ziliuma nikashindwaga na kufumua [emoji23]Uzi nauheshimuAnha kumbe basi ,suka za uzi
Mimi nasukaga .. nakunywa tu Panadol au napaka gel
Mimi nywele ikishakuwa tu ya kuanza kubana bana hivyo aisee naona tabu.Ooh thank you ... Jaribu makubwa pia
Nishavizoea na mwaka huu sijasuka vitunguu
Hizi si nyingi ona hapo kwenye kidoti hazijaa unaweza hadi ziachia hapo .
Salama shangaziMwarabu salama?
Ewaaa πNjoo mwaya hapa lazima utoboe
Hadi nude lipstick tunajisiliba tu mbele kwa mbeleView attachment 2227266
Anha okayMimi Nimewahi suka mara Moja tu maishani
Asante mwalimu wanguMwanafunzi nilikuwa nasema umependeza sana.
Mungu wangu.Anha okay
Bob je
Huwa zinapendeza sana pia
Usijali nikitulia nitaweka hapaEwaaa [emoji7]
Napenda kama hii.
Toa darasa kidogo ukipata muda
Ooh wengi wanafumuaNakumbuka nilisukwaga zamani ziliuma nikashindwaga na kufumua [emoji23]Uzi nauheshimu
Ooh hayaMimi nywele ikishakuwa tu ya kuanza kubana bana hivyo aisee naona tabu.
Nitaleta mrejesho[emoji7]
Mimi huwa nasuka zile za kusuka kuanzia chini, huwa haziniumiOoh kumbe , huwa zinauma sana tena ukute ana mkono mchungu hapo maumivu yanazidi
Mimi nasuka kila mwaka .. hapo nasahau kabisa [emoji23]
π₯°π₯°Njoo mwaya hapa lazima utoboe
Hadi nude lipstick tunajisiliba tu mbele kwa mbeleView attachment 2227266
Yule kijana huwa mnamsifia eti hendisamu. Huku anakoelekea wala siyo kwenyewe. Nilikuwa najaribu kumrudisha kwenye mstari ukoo wake huko Kondoa wasiishie kuimba "Parapanda italia Parapanda..." [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nilikuwa nasubiri comment yako Mtumishi [emoji57][emoji57]
Hizo sawa Zina unafuuMimi huwa nasuka zile za kusuka kuanzia chini, huwa haziniumi
Yatakushinda na mayutong yako ππYule kijana huwa mnamsifia eti hendisamu. Huku anakoelekea wala siyo kwenyewe. Nilikuwa najaribu kumrudisha kwenye mstari ukoo wake huko Kondoa wasiishie kuimba "Parapanda italia Parapanda..." [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]MkweeYule kijana huwa mnamsifia eti hendisamu. Huku anakoelekea wala siyo kwenyewe. Nilikuwa najaribu kumrudisha kwenye mstari ukoo wake huko Kondoa wasiishie kuimba "Parapanda italia Parapanda..." [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]