Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,409
Hahahaha Huyo ni Dada yangu kabisa kama ulivyo wewe tu. ..
Tutafute mtekaji mwingine aiseeNitakupa huyohuyo
Tutafute mtekaji mwingine aiseeNitakupa huyohuyo
Ndo niishiwe sasa, kama sijalia mimi nitafanya ajee
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Oops too young for these shits
Bye xoxo
@Hazard CFC ndugu yako huyu.
Jengo la Uchumi kakaHapo ni wapi eti Dada??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kweli nimegundua wewe siyo muandika magazeti kabisa yaani sijawahi kufuma gazeti lako humu hata kwa bahati mbaya,, mtu akibishana na wewe anajichosha tu maana hauchelewi kumjibu "sawa mkuu"..
Na ndiyo maana kwenye lile shindano la Hazard nilikuambia wewe utashinda nafasi ya kwanza kati ya wanawake wenye kauli nzuri humu JF maana una majibu fulani amazing,, nikikuwa mkubwa nataka kuwa kama wewe..
Nishatumaa mimi mdogo wangu mzuri mzuriSijambo dada
Picha zangu zimeisha[emoji26][emoji26]nitumie zako tu
Na hazijibiwiHahahahah nakusumbua nakwambia mbona text zimeshasomwa daaah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39][emoji39][emoji39]Bora iwe nadharia, manake nimejichungulia nikajiona sina sifa[emoji1787][emoji1787]
Hahahahaha jamani ebu nitumie basi kabla sijazima simu na kulalaNa hazijibiwi
Halafu nakutumia namba za konda
Ngoja tuendelee kutafutaHahahaha Huyo ni Dada yangu kabisa kama ulivyo wewe tu. .. Tutafute mtekaji mwingine aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unavuta bangi ya wapi dada??
Nani kakuteka etiHahahaha Huyo ni Dada yangu kabisa kama ulivyo wewe tu. .. Tutafute mtekaji mwingine aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani shemeji yangu siku moja moja hakuthibitishii jamani??
Next time nitachukua Zucchin ako na shape nzuri
Hahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]