Nina majirani hapa sijui wanataka kunitoa roho hata sielewi. Alianza huyu wa mkono wa kushoto akavuta jipyaaa jeusi. Wa kulia naye naona kaamua kujibu mapigo kavuta jipyaa jekundu...Yaani mpaka FJ Cruiser yangu naiona kama mkokoteni yaani. Ila Mungu Yupo. Nahitaji sana sala zako Baba Mchungaji ili mibaraka zaidi na zaidi inishukie na mie ili hatimaye niepukane na manyanyaso ya hawa majirani wasio na huruma