Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha wee
unajisahaulisha ilikuwaje eenh??

Ilikuwa kwenye uzi fulani hivi kuhusu wanawake na ndoa wewe ukasema "imeandikwa mwanamke mpumbavu atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, na mimi naongezea mwanamke mpumbavu atavunja ndoa yake kwa mdomo wake mwenyewe"

Mimi nikakuuliza "kivipi umemaanisha nini"

Ukanijibu "umeelewa sana ila unataka ligi tu, kuna mdomo na MDOMO"

Basi mie nikajua ulimind na nilidhani labda utakuwa off mood maana mimi katika maisha yangu sikumbuki mara ya mwisho kuwa off mood ni lini!!
but it was nothing personal you know

Wala sikumind!

Nilishangaa tuu nilijibiwa kwa gazeti, halafu nikajibu sawa mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…