Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,467
- 203,086
Wewee jamaniDepal ni Oxygen au Ugali?? 🤣🤣
Watu tumepress jokes buttons
Tuwacheee
spidernyoka mwaya Ai kent livu wizaut yu.. yua lavu iz laik oksjen.. i nid it tu savaivu
Wewee jamaniDepal ni Oxygen au Ugali?? 🤣🤣
mjomba kwa leo pumzisha hawa nyau basi!!😉
Mzima na wewe unajionaje na hali?
Nafurahi kusikia ivoNashukuru Mungu niko poa kabisa..
Oh c’monAnd I did press a joke button. Dont cling to it😉
acha nipumzike kabisaaa, watu wanakuja wananikuta wanaondoka wananiacha wanarudi wananikutaaa 😅😅😅mjomba kwa leo pumzisha hawa nyau basi!!😉
I lav yu moo qWewee jamani
Watu tumepress jokes buttons
Tuwacheee
spidernyoka mwaya Ai kent livu wizaut yu.. yua lavu iz laik oksjen.. i nid it tu savaivu
Sunset 😍
😍😍😍 Zanzibar kuzuri… One day
Hapana wewe mwemweleka tu mjomba ila selfii post zakwako nyau zimetosha mjomba!!acha nipumzike kabisaaa, watu wanakuja wananikuta wanaondoka wananiacha wanarudi wananikutaaa 😅😅😅
Ma'am tunaomba Ile ya namba 4 kama fabregasHapana wewe mwemweleka tu mjomba ila sekfii post zakwako nyau zimetosha mjomba!!
Ipi hio???😳😳
Natamani sana maneno haya wayasome na kuyaishi binadamu wote tukianzia hapa jf, tutafanya Dunia kuwa mahali sahihi kabisa pa kuishi"There is no better way to thank God for your sight than by giving a helping hand to someone in the dark".
Umesema vyema kabisa nkamu; mbegu njema unayoipanda leo, wanaweza wakaja wakavuna watoto/wajukuu zako kesho. Na hata wasipovuna; naamini hakuna kitu chema hapa duniani kama unapofanyika msaada kwa mwingine kumtoa kwenye changamoto yake. Maisha mema sana...
Hii campain idumu hadi pm zifunguke wajumbe waingie wamwage sera na muwaelewe🤣🤣🤣Haha
Hii campaign ni nomaa
Tuma tena kwan tunaichoka?Hahahaaa nishautuma sana humu
Inshallah. Mungu azidi kutubariki maradufu ili nasi tuwabariki wengine.Natamani sana maneno haya wayasome na kuyaishi binadamu wote tukianzia hapa jf, tutafanya Dunia kuwa mahali sahihi kabisa pa kuishi
Naomba Mwenyezi Mungu atuongoze katika hili![]()
Binti lipsYou won't have to ask if I still care
'Cause as time turns the page
My love won't age at all
I swear
By the moon and stars in the sky
I'll be there
I swear