Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu leo tuhakikishe tunapita pita huko PM kujaribu bahati zetu.
😀😀😀 PM zenyewe zipo wazi basi sasaaa, yani wame select wa kuwasiliana nao, kila ukituma unakutana na huwezi tuma message kwa huyu ... unageuza kimya kimyaaa na ikifanikiwa kwenda utajibiwa baada ya miezi ila hapa unakuta ana ku like na ana quote ila PM hajibu 😅😅😅
 
Kumbe ndio wana tabia mbaya hivyo kupotezea PM zenu jaman
 
🤣🤣🤣 ndio maisha best
inasikitisha sanaaa
FA1975CC-34B7-4B1A-9899-B312844B926E.jpeg
 
😀😀😀 PM zenyewe zipo wazi basi sasaaa, yani wame select wa kuwasiliana nao, kila ukituma unakutana na huwezi tuma message kwa huyu ... unageuza kimya kimyaaa na ikifanikiwa kwenda utajibiwa baada ya miezi ila hapa unakuta ana ku like na ana quote ila PM hajibu 😅😅😅
Sasa muite Mjep mara moja nimwambie kitu, Mjep tumemuweka kitengo wizara ya kuhakikisha pisi zinapata bando, muite tuongee jambo.
haiwezekani.
 
Back
Top Bottom