Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,193
- 183,012
Hata sina jipya mjomba!!!😅😅😅 goja amalize kwanza kula hapo, alafu ashushie ili digestion ifanyike huku tunasubiri mtupie kwanza 🤦♂️
Hata sina jipya mjomba!!!😅😅😅 goja amalize kwanza kula hapo, alafu ashushie ili digestion ifanyike huku tunasubiri mtupie kwanza 🤦♂️
Chocolate 🍫.. kuna mtu humu ali ninanga eti za kike nili maind sema nikakausha tuu 😅😅😅Hako kakikombe kamenikumbusha ile siku.
Ila zile chocolate zilikuwa tamu siyo siri.
Ameeeeeeeeeennnn!!!!! Nakwako pia!!Na baraka ziwe juu yetu j2 ya leo
View attachment 2225776
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wazee wanafaidi, na mie nikikua natamani niwe mzeeNa baraka ziwe juu yetu j2 ya leo
View attachment 2225776
Ni kufanya uchunguzi mapemaa kabla ya kujiingiza rasmiSa itakuwaje?
Asante madamAmeeeeeeeeeennnn!!!!! Nakwako pia!!
Old is gold .. ila tunapambana sana hapa kuna watu wana reflesh page tu.. ushunguu sanaaa 😭😭😭😭Hata sina jipya mjomba!!!
Hio ni jana mkuu.😅😅😅 goja amalize kwanza kula hapo, alafu ashushie ili digestion ifanyike huku tunasubiri mtupie kwanza 🤦♂️
Umeahirisha ile plan yako??? au ndio ushachoka mapema hata kabla ya mwaka kuisha????😂😂🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wazee wanafaidi, na mie nikikua natamani niwe mzee
Wanafaidi si kidogo aisee🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wazee wanafaidi, na mie nikikua natamani niwe mzee
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!😂😂🤣😆😆Old is gold .. ila tunapambana sana hapa kuna watu wana reflesh page tu.. ushunguu sanaaa 😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭Na baraka ziwe juu yetu j2 ya leo
View attachment 2225776
Wanafaidi si kidogo aisee
Mbona una😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😅😅😅 nimeshachakaaa sitamanikiUmeahirisha ile plan yako??? au ndio ushachoka mapema hata kabla ya mwaka kuisha????😂😂🤣🤣
😭😭😭😭😭Mbona una😭
Mkuu unajua nalilia nini.😭😭😭😭😭
Nini shida😭😭😭😭😭
Ushunguu sanaaa, ebu imagine watu wana shika mwili color ya gold ebu imagine mtu akisi hiyo midomo ebu imagine tuuuu ebu imagine tuuu mtu anashika kiuno yani imagine tuuu 😭😭😭😭😭😭😭😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!😂😂🤣😆😆