Lazima aringe kidogo, akikubali haraka ataonekana cheap[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]alikataa friendly match?? Huyo mwanaume inabidi awekwe kwenye kitabu cha guiness cha rekodi za dunia,, mwanaume wa kwanza kuwahi kutongozwa na mwanamke na akakataa..[emoji2088][emoji2088]
Unaenda wapi eti
Halafu simuoni tena jamani!!Ukipata usinisahau dada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko very smartHahahahahaha
Acha mimi niombe kazi tuu! Nikiomba hela zitaisha jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe nakuona "tonji",, lol hilo neno nililijulia kwako basi ndiyo limenikaa na nimeona nikutanie nalo mwenyewe tu
Mimi ni R. CDini zetu mimi Sakayo na DiasporaUSA, najua hamna muislam kati ya hawa wawili hapa.
mkweee mbona umetumia lugha ngumu sanaWe hujui kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake? Unakubalije kushindwa haraka hivyo?
Haya DiasporaUSA ushindani hakuna tena. Beba wote Karma na Sakayo
I will teach you how.... just give me a chanceSijui kama naweza kuacha uoga jamani
Utani tu sio lazima tufike jukwaa la utani popote kambii...Mefurahi mimi jamani....wewe sio wa kuniita mimi mchawi
Vitu vya watu wazima vya Uskochi hivi.Nakaa humu mdogo mdogoView attachment 1251213
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uko very smart
Uko wapi eti!
@karma come this way pleaseI will teach you how.... just give me a chance
HayaNipo Home
Sawa tuuUtani tu sio lazima tufike jukwaa la utani popote kambii...
Kwenye ile inaumisa koo mpaka inafumba macho ndo inapitaUnaenda wapi eti
Kwani unanywe ligi mkuu 75% Vol sio mchezoVitu vya watu wazima vya Uskochi hivi.
Kichwapanzi asiguse hapo.
On the rocks au neat?
Haya
Kule kwingne ndo kuzuri.Ambia hapa.
Hivi dada..??Poa kabisaa