Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umewaza nini lakini wee rubani!!😂😂😂🤭🤭!
Ukweli mnaujua, inatuuma sana tena sana, sisi tunarusha pumba sanaaaaa hamna kitu kuku haingii mtegoni, ila vile vijamaa comments zao hazieleweki na vile vijamaa vipo kimya (watu wasiojulikana) ndio vinakula mizigo, sasa nasemaje kesho patachimbika humu.

We mwenyewe unajua ndio maana unacheka..
 
Yaani wanaofaidi hizi pisi za selfika ni vishkaji flani huwezi vielewa, kwanza havi comment wala kuchangia chochote hata picha ila vipo vinafuatilia uzi kwa utaratibu sana na anashushia kinywaji.

Kuna vile vizee kwenye siasa kule ni moto wa kuotea mbali.
Sisi humu tunapiga kelele na kusifia pisi mpaka mishipa ya shingo inatutoka halafu hatuambulii chochote, _King tufanye maandamano ya amani hii sio fair kabisa.

Kuna vimtu ID inasoma mwaka 2009 halafu ana message kama 500 tu, sio poa,
Pisi zinaruka na jamaa hawaeleweki kabisa, kwanza comments zao tu unashindwa kumuelewa, lakini kule PM i bet humshindi maneno.
😅😅😅 na huu ndio ukweli mkuu Post M-alone , sema nini kwa hii post wanaweza tufikiria hata PM zetu wataweza zijibu zijibu
 
Ukweli mnaujua, inatuuma sana tena sana, sisi tunarusha pumba sanaaaaa hamna kitu kuku haingii mtegoni, ila vile vijamaa comments zao hazieleweki na vile vijamaa vipo kimya (watu wasiojulikana) ndio vinakula mizigo, sasa nasemaje kesho patachimbika humu.

We mwenyewe unajua ndio maana unacheka..
Hahahha
 
Hahahaaaa. Humu mie salute 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 ! kitambo sana!!!!!
 
Selfika
20220514_211115.jpg
 
Ukweli mnaujua, inatuuma sana tena sana, sisi tunarusha pumba sanaaaaa hamna kitu kuku haingii mtegoni, ila vile vijamaa comments zao hazieleweki na vile vijaja vipo kimya (watu wasiojulikana) ndio vinakula mizigo, sasa nasemaje kesho patachimbika humu.

We mwenyewe unajua ndio maana unacheka..
Hujajua tu pa kuwashika mkuu au labda huna nyota😉 🤣🤣🤣😂😂!!!
 
Yaani wanaofaidi hizi pisi za selfika ni vishkaji flani huwezi vielewa, kwanza havi comment wala kuchangia chochote hata picha ila vipo vinafuatilia uzi kwa utaratibu sana na anashushia kinywaji.

Kuna vile vizee kwenye siasa kule ni moto wa kuotea mbali.
Sisi humu tunapiga kelele na kusifia pisi mpaka mishipa ya shingo inatutoka halafu hatuambulii chochote, _King tufanye maandamano ya amani hii sio fair kabisa.

Kuna vimtu ID inasoma mwaka 2009 halafu ana message kama 500 tu, sio poa,
Pisi zinaruka na jamaa hawaeleweki kabisa, kwanza comments zao tu unashindwa kumuelewa, lakini kule PM i bet humshindi maneno.
Imebidi nicheke 😆😆😆
 
Back
Top Bottom