Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Nimemuona mahondaw ana twerk acha kabisa mkuu, mpaka nime download na video..
Nimemuona mahondaw ana twerk acha kabisa mkuu, mpaka nime download na video..
Nakutania mkuu, 🙂 ,hakuwa ana twerk, ni picha tu ya zile lips zake nene laini..
Usiwaze Mida yetu!Afu tunakudai ya kutuhujumu jana usiku!!
Baba pasta pilot muongo huyo!
Umecrop sana mkuu!
Kanirusha rohooo huyo 😒😒😒Pilot uongo umeanza lini??![]()
umetisha mama mchungaji1 Wakorintho 16:20 Pia ndugu wote wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
😅😅😅😅 mida ile ile ya jana shangazi .. nipo town nimejaa labda umeme ukatike tuuUsiwaze Mida yetu!Afu tunakudai ya kutuhujumu jana usiku!!
umepata busu au holaumetisha mama mchungaji
Apate wapi?umepata busu au hola
vipi umebahatisha 😊😊Apate wapi?
Wapi baba😁😁vipi umebahatisha 😊😊
Mungu ni mwema...Sijawahi kukana umri..ukweli nimevuka
duh! umekosa kiss 💋 😘 la mamaaa pastaaaaa 😔😔 inasikitisha sanaWapi baba😁😁
😁😁😁🤣🤣🤣umetisha mama mchungaji
Kwa Wini baadaemida ile ile ya jana shangazi .. nipo town nimejaa labda umeme ukatike tuu