Selfika na JF: Snap it. Show it

yaani sipati picha,, ila ndiyo vizuri atleast nitajua nimekutana na mpole mwenzangu so nitakuwa huru..

Unajua yale magazeti ninayoyashushaga humu kubishana na watu siwezi kuaminika kwamba eti mimi ni mpole ila kuna mtu humu nilishawahi kumuambia kwamba I'm not only faking my identity in here,, but also my personality..
Mimi na wewe tukionana itakuwa mkutano wa mabubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…