Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Umejua kunichomesha mahindi hadi yameungua.Nakuweka sub leo
Iko siku nitashusha essay
Ya hilo tege
Bila kuwa magumuSasa angalau ulikuwepo mkalimani wangu
Nimeelewa.
Sasa Kuna raha Gani ze miliki zinasimama kama maembe mabichi yanayoandamana kupinga bei ya wese.
Akili zako wige 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣!!Nilipatwa gagaziko
Nikajiuliza sana
Wapi umekosea
Sikuona kabisa
Itoshe kusema
Boss ledi anayo nundu
Mbinuko mbonyeo wa kiwango
Mjeda umeanza lini upambe lakini 🤣🤣🤣🤣🤣!!hahahaha. Nani huyo kapanic. Hataki tuone nundu mbinuko?
Acha dhambi


Mimi huyu


Ooh Asante sana rafikiHuyu ni ua letu
Binti ana lips
Hana baya na mtu

Ewaaaa! Kelsea uko vizuri!!
Mdogo wangu unaupiga mwingi sana siku hizi🤣🤣Siyo kalio
Ni tako lenye nyama
Rafiki hili kopa ni kwa ajili yangu au uliliweka tu?Ooh jamani asante tena rafiki
![]()



kitoto cha Mungu, mambo 😁😁😁
Maandishi ya mwishoOoh Asante sana rafiki
This is so sweet of you![]()
Lips..umemaliza mkuu!!Huyu ni ua letu
Binti ana lips
Hana baya na mtu
Kopa kwa ajili yako rafikiRafiki hili kopa ni kwa ajili yangu au uliliweka tu?![]()

Uwiii..laiti ungekuwa kidume ungeelewa yana maana gani, hiyo kazi tuachie sisi.Sasa angalau ulikuwepo mkalimani wangu
Nimeelewa.
Sasa Kuna raha Gani ze miliki zinasimama kama maembe mabichi yanayoandamana kupinga bei ya wese.
Wige wee ni chizi ujue!!!🤭😉Uliwahi kuona ile avatar yake ya mwanzo
Sasa pigia mstari na mzigo alionao
Ila jamani
Kuna wanawake wameumbwa
Halafu haringi wala nini
Sasa kutana na havinitishi na yule havijawa
Wametia vigodoro na tatoo kama zote
Hayo maringo utashaa