Umesambaza upendo kweli kweli.Ooh yeah
Habari ya leo
hahaha.jamaa ajue tu kuwa nundu ni nyama,khs weekend mie naendeleza hapa kwa mangi.chupa imeamka na chaiHalafu tunshawishi Glenn kuwa nundu ni neno la kisarufi zaidi..hahaha. nadhani nishaanza weekend yangu!!
Ooh thank youUmesambaza upendo kweli kweli.
Za leo ni nzuri, hope uneamka salama huko!!
Amen!Ooh thank you
Nipo poa kabisa vipi wewe ?


Huyu ni ua letuUmesambaza upendo kweli kweli.
Za leo ni nzuri, hope uneamka salama huko!!
Ooh jamani asante tena rafikiAmen!
Niko poa kabisa, mdada wa watu usiye na makuu![]()

Dah unaniandikia kiswahili kigumu.A pair of "melons" in woman's chest...ziwe kubwa za kutosha!!
na weekend ianzeIts friday 😌
View attachment 2222533
Sasa angalau ulikuwepo mkalimani wangu😂Ze miliki iz stending![]()
Nilikuwa hata sielewi😂
Yaani essay zako pambe haziwezi nitia moyo Kwa hili tege🤣Nakuweka sub leo
Iko siku nitashusha essay
Ya hilo tege
Watu Wana maneno hii dunia😂
Muone anacheka😃
Mno, ukute ndio sababu na nundu ikaleta mushkeli hahahWatu Wana maneno hii dunia![]()