ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,427
- 118,972
Na limekaa sehemu yake kweli kweli mkuu. Upate nafasi ya kulifanyia masajihahahaha. Ita hilo hilo nundu .limekaa vzr




Na limekaa sehemu yake kweli kweli mkuu. Upate nafasi ya kulifanyia masajihahahaha. Ita hilo hilo nundu .limekaa vzr




hahahaha, nundu ni nini? Nasikiaga mishikaki ya nundu. Ila nundu ndo cjui
hahahaha. Nani huyo kapanic. Hataki tuone nundu mbinuko?Nilipatwa gagaziko
Nikajiuliza sana
Wapi umekosea
Sikuona kabisa
Itoshe kusema
Boss ledi anayo nundu
Mbinuko mbonyeo wa kiwango
Nundu ya boss ledi inavunja chaga hadi inasababisha watu tupoteane😂hahahahaha.nundu hatari sana
natamani arudie nione hy ya kuitwa nunduHahah, mkuu wige umeua kabisa. Ni kuomba kibali cha ku CC. Madam mahondaw utuwie radhi kabisa.
Nundu imeshiba kilo kama zote 😃Tuuite mgongo, Hahaha! Nimekoma jamani, thiongei matusi tena!!
Wewe una utege, utege nao una mambo yake. Inasemekana....Nundu ya boss ledi inavunja chaga hadi inasababisha watu tupoteane![]()
hahahahaha.hatari sana.aseeNundu ya boss ledi inavunja chaga hadi inasababisha watu tupoteane😂
Hahah, mkuu wige umeua kabisa. Ni kuomba kibali cha ku CC. Madam mahondaw utuwie radhi kabisa.
Mnachokitafuta mtakipataNilipatwa gagaziko
Nikajiuliza sana
Wapi umekosea
Sikuona kabisa
Itoshe kusema
Boss ledi anayo nundu
Mbinuko mbonyeo wa kiwango
Chaaaaah!!Wewe una utege, utege nao una mambo yake. Inasemekana....
Mkuu, ile nyama ya juu kwa ng'ombe wa kienyeji...pale upanga wanauza mishkaki mizuri sana ya nundu. Ukila miwili tu uko hoi.natamani arudie nione hy ya kuitwa nundu
nundu ni nundu. Na mgongo ni mgongoTuuite mgongo, Hahaha! Nimekoma jamani, thiongei matusi tena!!
Wacha tufurahie hii virtual world kiongozi, nikisema tukutane utakataa...badi wacha tufurahie. Madam hana hiana na watu wala.Mnachokitafuta mtakipata
hahahaha.kumbe na ww una tege.dah mtatuuaChaaaaah!!
Siyo Kwa lile tege limepinda namna ile 😂
hahahahaMnachokitafuta mtakipata
Wewe ni mkorofihahahaha, nundu ni nini? Nasikiaga mishikaki ya nundu. Ila nundu ndo cjui
nundu ni kalio bwana. Unajua sana ila basi tu.Boss ledi mzungu wa roho yule..Wacha tufurahie hii virtual world kiongozi, nikisema tukutane utakataa...badi wacha tufurahie. Madam hana hiana na watu wala.
Tege Kali mnohahahaha.kumbe na ww una tege.dah mtatuua
Kila kitu kina faida zake, yani dunia hii Mungu kaumba watu wake kwa namna yake. Huwezi jua tupo wengine tukiona bolibo(boribo) zimevimba zimejaa tunapagawa hatari..Chaaaaah!!
Siyo Kwa lile tege limepinda namna ile![]()