Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nundu ya boss ledi inavunja chaga hadi inasababisha watu tupoteane[emoji23]
Uliwahi kuona ile avatar yake ya mwanzo

Sasa pigia mstari na mzigo alionao

Ila jamani

Kuna wanawake wameumbwa

Halafu haringi wala nini

Sasa kutana na havinitishi na yule havijawa

Wametia vigodoro na tatoo kama zote

Hayo maringo utashaa
 
Boss ledi mzungu wa roho yule..
Ndio mkurugenzi pale WHO...

Namaamisha mtakipata mnachokitafuta Kwa jamaa aliyewachenjia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema hamkuelewana tu kiswahili.
Najua, hata Glenn hana shida na mtu, ni muendelezo wa mastori tu wala sio ishu, hawezi kumaind vitu vidogo hivi. Kule siasani ndio kuna stress...
 
Back
Top Bottom