Ni addiction tu lakini sio nzuri...
Kuna watu wanamaliza pesa zao huko hadi wanaishia kuwa waongo waongo tu ili mradi tu aweze kopa mtaji wa kubet...
And i can't see you kuwa ka hivyo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mna nini lakini?
Yeah,, I envy you old members..
Nasikia JF ilikuwa zamani enzi zile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanasemaga arosto la kubet sio la kitoto
Haya wazee wa selfie fursa hiyo nawashirikishaView attachment 1250848
View attachment 1250849
Mtanisamehe ubora wa picha maana kamera ya simu nyang’a ny’anya hapo price ni 6000 per square meter
Kizuri kula na nduguyo[emoji109][emoji109][emoji109][emoji123]Haya wazee wa selfie fursa hiyo nawashirikishaView attachment 1250848
View attachment 1250849
Mtanisamehe ubora wa picha maana kamera ya simu nyang’a ny’anya hapo price ni 6000 per square meter
Nimetuma picha hapa karibia zinafika milioni saba 😂😂😂
Heheh unafanya kazi kwenye ofisi ya makaratasi nini? mbona kupo vuruvuruuu
Wala sijisikii vibaya!Haya kwani mie nina hiyana basi,, ila tu usijisikie vibaya jamani..
Hizo raba mie hoooiiiChukua hiyo..View attachment 1250915
Mkuu uko darasa la ngapi,
Hakika
Kama nani eti mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha tu sema kinachofanya niwe hivyo ni aibu tu,, na pia huwa nawaza nisije nikaongea au nikaandika kitu kikamkera au kikamboa mtu..maana huwa sipendi kumkwaza mtu
Na katika maisha yangu siwezi kuishi na mtu aliye serious muda wote maana mimi napenda sana utani hivyo nitamuogopa,, na hata hapa JF tu kuna watu siwezi kuthubutu kuwatania hata kwa bahati mbaya..
Hiyo kweli hainifai jamaniNi addiction tu lakini sio nzuri...
Kuna watu wanamaliza pesa zao huko hadi wanaishia kuwa waongo waongo tu ili mradi tu aweze kopa mtaji wa kubet...
And i can't see you kuwa ka hivyo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo ni uchochezi, ila Lizarazu mbona tumeshataniana sana huyo mwanzo ndiyo nilikuwa namuona wa ajabu ila kumbe ni mtu poa sana. Waulize Saint anne na cute b watakuambia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamaaniHahah...wajua kunifurahisha
AiseeeUtajua tu