Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Baridi halijakolea huko?
Baridi halijakolea huko?
😅😅😅 Unauliza majia baharini... kanapenyaa hatariiBaridi halijakolea huko?
Kwema lakini mkuuSafi sanaaaa mkuu
Nigawie shingo kama hiyo
Siipatii picha aisee😅😅😅 Unauliza majia baharini... kanapenyaa hatarii
Leo lipstick juu
hapa town mbona jotooo natembea na vest kabisaa baridi lipo juu ukiwa unaenda mandege unagandaaa mida kama hii 😅😅😅Siipatii picha aisee
Kwema kabisa kamandaKwema lakini mkuu
Tinsley mzuri wewe(lipsi nzuri zinasadifu)
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mkuuKwema kabisa kamanda
Unipe zawadi basi maana na kuchoka kote bado nimetupia selfie. 🥴🤓😁😁😁😁🤐🤐🤐 mbingu zimepitishaa tayari sitii neno tena, mambo tuyapendayoo yaleee
Ndy Kwanza nakuona mrembo..asante sn
Toka ukatembee tembee kidogo 😏Yaani mnazidi kunichanganya, nishachanganikiwa kabisa.
😁😁😁 zawadi ya kuondoa kuchoka eeeh.. au chagua basi zawadi nifanye hapa cha chap ikufikieUnipe zawadi basi maana na kuchoka kote bado nimetupia selfie. 🥴🤓
Spa treatment 😌 😉😁😁😁 zawadi ya kuondoa kuchoka eeeh.. au chagua basi zawadi nifanye hapa cha chap ikufikie
Awwh nitakupa tu hiiNigawie shingo kama hiyo
ya ki Thailand 🇹🇭 😁😁Spa treatment 😌 😉
Yaani lipstick inakupa confidence fulani hiviLeo lipstick juu