Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi ni kwa sababu natumia App ama inakuaje, kuna muda naona kiboksi tu kama hapo. Rafiki hiyo ni emoji au?
Screenshot_20220512-191049.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kwa sababu natumia App ama inakuaje, kuna muda naona kiboksi tu kama hapo. Rafiki hiyo ni emoji au?View attachment 2221885

Sent using Jamii Forums mobile app
Click hiyo post

Then, click vidot vitatu juu upande wa kulia wa app ya jf

Then, click "open in browser"

Hii insaidia hata kwa attachments ambazo hazionekani kwenye app, ukifanya hivyo utaziona, then unarudi kwenye app kuendelea....
 
Back
Top Bottom