Mie ni mtu wa casual 100%, nimejaribu sana ku shift nimechemka, hadi kuna vikao vingine ukiachana na sherehe ambavyo hawaruhusu casual ila huwa naenda hivyo hivyo ila kwakuwa wanashida na kichwa changu wananichunia na pia ni mtu ambae huwa napenda kuwa opposite na kundi kubwaaa la watu kwenye sherehe kwenda na sandals kawaida kabisaa