Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Mwaka kesho rafiki [emoji23] ngoja nikipiga ntaweka hapa. Mie mvivu sana wa picha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nan huyo [emoji1787] mama muzungu wewe ni mchokozi.Mtu mfupi,mweusi na mwenye kitambi anakubanaa hata picha hupigi sikuhizi [emoji2][emoji2][emoji2096][emoji2096]
Awwwwwwwwwwwww Hapa ni hatareeeee[emoji12]! Katokelezea kinoumaaaa[emoji3577][emoji3577]Unasema nini coca? (in masantula's voice)
Hapo ukute ni tall dark guy kagonga vitu vyake sasa[emoji3059][emoji3059]View attachment 2221557View attachment 2221559View attachment 2221560
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu mfupi,mweusi na mwenye kitambi anakubanaa hata picha hupigi sikuhizi [emoji2][emoji2][emoji2096][emoji2096]
Abee jirani[emoji849][emoji849][emoji849][emoji28][emoji28][emoji28] ni vi bukta, na vimini , nywele ziwe fupi au natural kama suruwale ile ya kushika mwili flani hivi sijui kipedo sijui shart sijui iwe kwa juu kidogo kama inaachia kitovu hivi na kashang kama ka gold hivi kamoja kanakuwa kama kanaoneka.. sunday basi ni mwendo wa kiofisi alafu kikuu huwa vinaongeza urembo wao marashi ya gucciw au versarch.. hatari sana alafu awe sport sport girl flani akila snikcer hatari au rabaa hivi noma
Travolta shangazi? [emoji3059][emoji3059][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naanzaje Kwa mfano kukutagHeee…j. a. m. a. n. i
🤪🤪🤪
Safi sana mu yukraine [emoji28][emoji28][emoji28] wa mpito .. ila kuwa makini wengine ngumi mkononi
Haina kitu, ila haifai kuchomekewa. [emoji23][emoji23][emoji23]Cadet ina nini kwani?
😅😅😅 Vibuktaa vyako jirani ulivipataaaAbee jirani[emoji849][emoji849][emoji849]
Afu coca anadiss mchomeko wa cadetAwwwwwwwwwwwww Hapa ni hatareeeee[emoji12]! Katokelezea kinoumaaaa[emoji3577][emoji3577]
Anatutania huyu na vinjunga vyake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Kaua sanaa...
Very smart...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu coca anadiss mchomeko wa cadet
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] useme shuka la kimasai, sio pazia.
Travolta vya maboss 😅😅Kuna buti mjomba ametupia hapo huwa nazikubali sana wajomba wakivaa..
Travolta ni vya watu wa benki[emoji2][emoji2]
Huyu kajitungia tu achana nae [emoji23]Sio big ????[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hebu muiteni big atupie hadi dongo!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]