Nilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa ipo slim imenikaa na shati ya mikono mirefu nimechomekea, na moka flani zimenyooka sana, nilikuwa nasubiria gari, nilikuwa nimening'iniza tai nyembamba kifuani.
Kuna dada mmoja alikuwa ananiangalia mpaka naingia garini halafu ilikuwa pisi ya maana, that day nilikuwa napata attention sana toka kwa wanawake wale early 30's and above.
Nilifahamu kweli wanawake wa umri fulani wanapenda aina fulani ya uvaaji.
Sasa mkuu wameshatusema sana kuhusiana na kuvaa mashati ya suruali na sisi tuanza kusema tunavyopenda.