Mama umefunga mjadala.Unasema nini coca? (in masantula's voice)
Hapo ukute ni tall dark guy kagonga vitu vyake sasa[emoji3059][emoji3059]View attachment 2221557View attachment 2221559View attachment 2221560
[emoji28][emoji28][emoji28] mtu wangu anapata sanaaa tabuuu maana mie napendaa utani to the maximum.. na kadri anavyo kasirika ndio nachochea motooo hadi a freez ndio tunaanza kazi ya kurudishana sawa kwa utani tena.. utani unafanya vitu flani viende
Huyo huyo mpendwa [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio bikira maria kimbilio la Wengi?
Ila wanamke wanapenda sana watu wao wapendezee hasa wanaume wao wawapendaoKupendeza sana huwa kunaendana na ubinafsi, japo sio wote..
Travolta shangazi? [emoji3059][emoji3059][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora wanavyokuvua
We unachukua toleo jipya
Halafu napenda vile vya kupanda pia..
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jaman mama malezi nini hiki wee unaleta hapa sahivi? Khaaaah.Unasema nini coca? (in masantula's voice)
Hapo ukute ni tall dark guy kagonga vitu vyake sasa[emoji3059][emoji3059]View attachment 2221557View attachment 2221559View attachment 2221560
Huko huko [emoji23] utapendeza una mwili mzuri.Kuchomekea kwa kweli hapana...
Labda nikiwa naenda kwenye interview.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo huyo mpendwa [emoji38]
Safi sana mu yukraine π π π wa mpito .. ila kuwa makini wengine ngumi mkononiKama mtu hajanizoea atakua anakasirika sana,napenda utani mno uliopitiliza...
Anatutania huyu na vinjunga vyake π€£π€£π€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Siri yangu shos hahaha.!!! kweli tumetofautiana!!!!!
Na mie naona haswaaaah. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Kwa nini niutese mwili. Bwanga hapa ndio sehemu yake [emoji3][emoji3]
Huu uzi ungenogeshwa na picha..
Na ndio huwa nachukua hivyo .. [emoji28][emoji28] sema wakati mwingine unaona aibu unawaachia tu.. ila kuna vingine hadi roho inauma
Huyo wa tall dark guiz, nshampost hapa. Na kuchomekea kwakeAnatutania huyu na vinjunga vyake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani nahakikisha kitambaa kinaisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] useme shuka la kimasai, sio pazia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na shati kuubwaa kama pazia la sinema...
Na mkuki moyoni chini...
Kwamba cadet haichomokewi?[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jaman mama malezi nini hiki wee unaleta hapa sahivi? Khaaaah.