Na ka hali ka hewa katraamu hadi rahaaa.. leo nilikaa mahala hadi giza likaingia nilikuwa natazama tu wingu ... nimetoka saa tatu usiku π π π nilikuwa kama nawangaView attachment 2219655
Ukweli huku naenjoy hatari, kesho naenda kaa upande wa pili ambao una bonge ya mapolomoko ya maji ππ uje sasa na ka mziki ka JBL π π ili maisha yawe matamuu