Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usinikumbushe, niliwahi kuwa MC wa graduu yetu ya 4m 6, mambo niliyoyafanya hapo. Sitasahaulika pale shule woiiiiioh.

Nakuambia nilivunja watu mbavu, mda wote sherehe iko on firee.
Dada silipi kwanza Hadi sherehe iishe tukimaliza tunaangalia mkanda tunarudia ukitoa kichambo tunakata buku kila kichambo kimoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] hebu nitafutie nafas bas ya jeshi, nataka huko ughabuni. Mweeeeeh.
Jeshi la Marekani halina watu na ukienda kule kihalali ukasema unataka kujiunga na jeshi watakufanyia mpango wa Green Card na fasta unakwenda depo. Labda ufeli mitihani yao mingine (background check, psychological evaluation.....)....Nenda mjukuu ukawe Seal Team 6 kama wale waliomuua Osama!
 
Dada silipi kwanza Hadi sherehe iishe tukimaliza tunaangalia mkanda tunarudia ukitoa kichambo tunakata buku kila kichambo kimoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata chenji sitaondoka nayo.
 
Back
Top Bottom