Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,218
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]case ya nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] omba wee mwenyewe, staki case.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]case ya nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] omba wee mwenyewe, staki case.
[emoji1787]
Shangazi nasikia umejiripua laivu lakini nimepishana nayo. I will regret this dah!Poa
Salama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mwehu. Kuna mtu aliwahi nambia PM eti mie sio binadamu wa kawaida, mbna siko emotionalSijawahi kukuona ukiwa umeelemewa. Hata wapaniki vipi unakwenda nao tyuuh taratibu jomoniii eee. Huwa nakushangaa sana! [emoji16][emoji16]
Malipo je?
😅😅😅😅 Nitakuwa nimeuza mechi Madam Shangazi ...santeee babaa pastor....😘😘 ila ungefanya kama big ni no emoj wala nene😂🤣
Ni kwenye bwawa letu la umeme lililokwama nini? Mainjinia wetu wazalendo msituangushe basi [emoji1545]Huku kuna gari zake maalumu.. hizo zingine unaweza ukaiacha au ukaibeba mgongoni [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kajilipua live big akasome 🤣🤣😂😂😂Shangazi nasikia umejiripua laivu lakini nimepishana nayo. I will regret this dah!
Dah!Kajilipua live big akasome [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Parkingulitingwa wapi msukuma jamani!!
Hapana ba mchungaji tena utatubariki mno mnoo waumini wako !!😅😅😅😅 Nitakuwa nimeuza mechi Madam Shangazi ...
Hapana sio huko ila zinataka kufanana na hapa ni kwenye hifadhi.. Mkuu nilijaribu kupita kwa majaliwa nikagonga mwamba ulinzi mkali sana kuleNi kwenye bwawa letu la umeme lililokwama nini? Mainjinia wetu wazalendo msituangushe basi [emoji1545]
Kwa kweli mbele ya baobonye (kiibodi) una kipaji cha aina yake. Kama uko hivyo na mubashara basi ungefaa sana kuwa mwanajeshi tena special forces[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mwehu. Kuna mtu aliwahi nambia PM eti mie sio binadamu wa kawaida, mbna siko emotional
Anasema hata nipanikishwee vipi au nichukizwe ndo kwanzaa nafurahi na kuchekaaa. Sasa jaman na nyuma ya Keyboard nioneshe emotionals? Pengne ktk maisha halis mie ndo niko emotional kuliko hata wanavyofikiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaumiza sanaDah!
Imenipita yaani!
Nitatupia kesho .. nikifika mujini mujini ili kuchanganya code 😅😅😅Hapana ba mchungaji tena utatubariki mno mnoo waumini wako !!
Oooh!Hapana sio huko ila zinataka kufanana na hapa ni kwenye hifadhi.. Mkuu nilijaribu kupita kwa majaliwa nikagonga mwamba ulinzi mkali sana kule
Poapoa baba pastor!!Nitatupia kesho .. nikifika mujini mujini ili kuchanganya code 😅😅😅
Atasingizia kalala hata kama yupo tu hapa anatusanifu. Shangazi yetu mzungu halafu dah!Inaumiza sana
Ikimpendeza arudie
Hakuna namna