Selfika na JF: Snap it. Show it

Viambie mie navisalimia hivyo vizee vya kizungu. [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
 

Ooh Asante sana
Nitazingatia hilo na pole sana pia kwa kuondokewa na mzee .

Mimi najisahau sana naomba roho mtataktifu aniongoze katika hilo
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na vyenyewe vitakuwa vime advance labda viamua kukuachia ushinde tu
 
Ooh Asante sana
Nitazingatia hilo na pole sana pia kwa kuondokewa na mzee .

Mimi najisahau sana naomba roho mtataktifu aniongoze katika hilo
Toka nilipokuwa free kwenye nafsi yangu sipendi kabisa pole wala sioni tija yake.. nina rejoice kifo cha mzee baba pale nikumbukapo... mbengu isipo anguka na kuoza haiwezi zaaa tena πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Toka nilipokuwa free kwenye nafsi yangu sipendi kabisa pole wala sioni tija yake.. nina rejoice kifo cha mzee baba pale nikumbukapo... mbengu isipo anguka na kuoza haiwezi zaaa tena [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ooh hongera Uncle .
Si rahisi hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…