Uncle open your heart, Bwana Jehova ajae full pakaa juu utapa pumziko la hatari.. ni nyakati ngumu ila bila Yesu kufulika hotoboi mazeee π π πSo sad ndo mwezi huu
Utarecover tu dear amini tu hivyo
Mwanzoni huwa si rahisi , muda utakupa jawabu sahihi .
Uchungu wa msiba hauzoeleki na unakuwa nao siku zote . Ni almost miaka saba toka mama aniache ila maumivu yapo tu siku unakaa unamkumbuka weh then life inaendelea tuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha uongo wako lol.Njoo hapa kimara mdogo wetu uniungishe barafu hata 2 .
Nilikuwa nafanya promo tu mdogo wetu kumsaidia ndugu yangu.
Thanks for the helpful advice Uncle ! Umenena vyema .Uncle open your heart, Bwana Jehova ajae full pakaa juu utapa pumziko la hatari.. ni nyakati ngumu ila bila Yesu kufulika hotoboi mazeee [emoji28][emoji28][emoji28]
Huko morogoro kuna nn tena? Mbna ghafla sana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo haya maeneo maeneo [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2218980
Tatizo unajitahidi, kwa Mungu huwa hatujitahidi, kwa Mungu huwa tuna jisalimisha na kufungua moyo na kukaa magotini pake ila kama unajitahidi ni ngumu kumuona Mungu, ila kama uta jilasimisha kwake Mungu anaujaza, niliondokewa na mzee baba, nili sturgle kichizi maana alikuwa kila kitu kwangu sijawai kupendwa duniani kama na mzee baba, zile moments ambazo nilikuwa nae zilikuwa zinanifanya hadi kama nachanganyikiwa so picha yake mda wote ilikuwa kichwani kila siku namuota hadi nilikuwa kama nimechizi sometime naongea mwenye... but msaada wa kiungu tu ndio ilitoa hapo maana sometime nilikuwa hadi nawish kufa.. Fungua Moyo kwa Mungu muambie umeshindea huwezi kitu simpe prayer ambayo ina imani inabadirisha kila kituThanks for the helpful advice Uncle ! Umenena vyema .
Najitahidi ila wapi ..najikuta narudi vile vile tu
kwani mie si ndio naishi jirani na mamaa pastaaa tu hapaaa π π πHuko morogoro kuna nn tena? Mbna ghafla sana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hivi nimemiss π°....itapendeza sana π€π€Angel Lizzy naona mambo yako sio mabaya nikija acha nikutafute tule faida hiyo π π π π sio ule peke yako tuView attachment 2218984
wapiTukapokee mwenge
na mie usininyime tambi ππ hadi mate yametokaNa hivi nimemiss π°....itapendeza sana π€π€
Nshamalizaππna mie usininyime tambi ππ hadi mate yametoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwa tena woiiiiih, lol.kwani mie si ndio naishi jirani na mamaa pastaaa tu hapaaa [emoji28][emoji28][emoji28]
toka lini umekuwa na speed kwenye kula jamani... si tulikubalina unakula kwa mwendo wa kinyongo na sharti kubakiza hata kiduchu tu π π πNshamalizaππ
Njoo nikupashie zako π
ulipo mwengewapi
jirani yangu , akitoka tu kwake naona anapotoka lupitia dirisha π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwa tena woiiiiih, lol.