Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,996
- 35,447
Wengi wetu hatupikiki chungu kimoja.Kwanini mtupiane virago[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wetu hatupikiki chungu kimoja.Kwanini mtupiane virago[emoji848]
[emoji23][emoji23] em akija mwenyewe tutamuuliza wanafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo mademu zao wanawaingiza mda gan? Ni mwendo wa exile tyuuh. Aaaaah
Nasubiri [emoji4]Mpyaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jmn hata lips nazo ukaficha?Tuesday
I choose black[emoji1665][emoji846]View attachment 2218805
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sie bwana sijui nan alituroga.Wanaume wapo peace sana tofauti na sie
Sisi huwa tunapuuziwa vitu vidogo...sio kuwa hatuudhiani au kukoseana bali huwa tunachanana live na tunabaki washkaji.
Wengine tunaweza kutoa kiimojo hicho mkuu 🤣
Na tunakaa wanne 😅😅😅 kitandani wote tunatosha tunalala marufuku kupigana mtu korido mtu 😅😅😅Wanaume kwene maghetto ya hivi mnaweza ishi fresh tu ila akina sisi hapana aisee ni tutakorofishana kesho tu, mwendo wa kutupiana virago nje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani[emoji23]Wengine tunaweza kutoa kiimojo hicho mkuu [emoji1787]
Safi.Na tunakaa wanne [emoji28][emoji28][emoji28] kitandani wote tunatosha tunalala marufuku kupigana mtu korido mtu [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji3059][emoji3059]Tuesday
I choose black[emoji1665][emoji846]View attachment 2218805
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sasa warembo wenu wakija inakuaje[emoji16]Na tunakaa wanne [emoji28][emoji28][emoji28] kitandani wote tunatosha tunalala marufuku kupigana mtu korido mtu [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uwiiiiih.
Tatzio sisi umbea, tutakorofishana tu hakuna namna.Sisi huwa tunapuuziwa vitu vidogo...sio kuwa hatuudhiani au kukoseana bali huwa tunachanana live na tunabaki washkaji.
Ninyi huwa mnanuniana bila kuelezana ukweli.
Na ukieleza ukweli nako unanuniwa haha
Usijar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitanda k1 mnalala watu 4?Na tunakaa wanne [emoji28][emoji28][emoji28] kitandani wote tunatosha tunalala marufuku kupigana mtu korido mtu [emoji28][emoji28][emoji28]
Ndyooo mama malezi, uko ghorofani.[emoji170][emoji170][emoji172][emoji172]View attachment 2218867View attachment 2218868View attachment 2218869
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niache kwan bas, nacheka km mwendawazimu.