Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,376
Hao unaokutana nao ni wa mjini au kijijini? Siku hizi ubabe wa nini tena jamani? Nani utamfanyia ubabe siku hizi?Hapo ndo sijui mm sijaona hao mil 12 nimewaona naoishi nao
Semaunajiteteaubabe usipinge na
Kama kawa
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Huyu dogo nimemlea mwenyewe na nimezunguka naye duniani kote mwenyewe. Hana ubabe hata chembe. Si utaona?



Kama kawa 



shangazi unataka nilale mapema yote hii?