Selfika na JF: Snap it. Show it

Lya salasini


Tunakodi bus

Goja na goshoka
 
Kinachokushangaza nini mkuu?
Wakati tayari nilikuwa na watoto wawili..tena toka dini tofauti na yangu.

Hao wasio walokole uliaambiwa wana kasoro miili yao?
Ujaelewa ata chembe..! Afu ujue unaongea na known person to you..!
 
Hahaha lyasalasini abhanho bhagichimaga sana egesiti sigamadekaga mmadilo guke
 
Usikatae wito...

Kataa unachoitiwa...

Siyo wote wababe....

Kijana mstaarabu sana....

Na exposure kama zote.....

Kupiga goti mbona ishu ndogo tu?
Kwenye ustaarabu sijagusia kabisa mko vema ubabe hauna mabadiliko akija aje cheti Cha kubembeleza
cv ziwe zimeshiba asisahau uzoefu alokuwa nao wa muda gani

Mama njoo bas nikuone
Bby uko sawa kweli
Umechoka eeh pumzika bas


Sio wew uje saambili kamili uwe hapa

Naongea umenyamaza nitakupiga vibao
Ya Nini mie


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Naona tu nikukaribishe kwenye ukoo wetu. Kijana mstaarabu sana tena mno. Nilishakaa naye namfahamu vyema. Kama aliweza kudeti mzungu kwa miaka mitatu na kwako naamini hatashindwa hasa ukizingatia kuwa wazungu wanapenda kudekeshwa hatari. Yupo Mwanza hapo anapiga mishe zake...

Karibu kwetu Nyaumata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…